Tena rais wa TFF Malinzi nilimsikia akitamka suala hili kulisimamia yeye mwenyewe, ni miezi mingi sasa tokea atamke hivo.So TFF Wameshindwa Kuilazimisha Yanga Kufanya Uchaguzi Kwa Miaka Yote 2!!!?? Mbona Waliweza Kuwalazimisha Toto Africa Na Coastal Union Kufanya Uchaguzi, Lkn Walishindwa Kufanya Hivyo Kwa YANGA!!?