king gwangaeto
Member
- Aug 15, 2016
- 47
- 46
Kupitia hotuba ya waziri wa fedha na mipango Mh. Mwaigulu Nchemba leo bungeni wakati akiwasilisha bajeti ya wizara ya fedha ya mwaka 2022/2023 amethibitisha kukamilika kwa hatua za ukaguzi wa mali na madeni ya taasisi mbali mbali ambazo zilikua ni mali ya serikali ,na miongoni mwa taasisi hizo ni Tanzania Occupational Health services (Dar group hospital )
Ni hatua nzuri sana kwa serikali kwa kurudisha mali hizo ambazo zimekua zikitumia na kufaidiwa na walafi wachache kwa maslahi yao binafsi ,hivo hatua hiyo itaboresha wigo wa huduma kwa wananchi mfano kupitia urejeshwaji wa hospital ya Dar group itaongeza utoajiw ahuduma kwa wananchi kwa gharama nafuu
Pia,Ushauri na ombi kwa serikali ya awamu 6 ,ni kuifanya hospital ya dar group kuwa chin i ya mfuko wa NHIF AU OSHA kama ilivokua dhana ya uanzishwaji wake na hata jina lake linavyosadifu (TANZANIA OCCUPATIONAL HEALTH SERVICES)
TUNATOA PONGEZI KWA SERIKALI YA MAMA SSH NA KWA WAZIRI WA FEDHA,HAZINA NA TEAM YOTE ILIFANIKISHA HATUA HII (BILA KUMSAHAU DC.GODWIN GONDWE ALIYESIMAMIA NA KUIBUA KADHIA YA DAR GROUP WAKAT AKIWA TMK)
MAMA ANAUPIGA MWINGIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
KAZI IENDELEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE