ExpireKuchina ndio nini?
CCM na serikali yake hawachokagi kukanusha, hata wakiambiwa kuwa mwenyekiti wao ndiye aliyemuru lissu auawe wanakanusha
Kwani waliochanja sio watu?Ni ulaji tu,Rais mwenyewe watu walimwambia hatuchanjwi,leo inatumia pesa kuhamasisha!?
kwa hiyo hao baadhi ya watu wa Kawe wakageuka wasemaji wa Watanzania wote?Ni ulaji tu,Rais mwenyewe watu walimwambia hatuchanjwi,leo inatumia pesa kuhamasisha!?
Tutabakia fisadi kugombea hela zisizo na impact kwa maendeleo ya nchi zaidi ya kuweka deni kwa taifa. Wenye kutegemea kupiga hela kama hizo ndio tangu awali walimchukia jpm kwa kutupilia mbali mchezo wa mabeberu kuzushia jumuia ya kimataofa tafrani ya ugonjwa 'pandemic' kwa kufaidisha upigaji wa hela za wanyonge duniani.Wizara ya Afya imekanusha tuhuma za upendeleo au rushwa katika Zabuni ya Kampeni ya kuhamasisha Wananchi kupata Chanjo ya COVID-19 iliyotangazwa Septemba 29, 2021
Imesema kazi hiyo ilifanyika kwa dharura kutokana na umuhimu wa haraka ya Elimu ya chanjo ili kuepusha uwezekano wa chanjo kuchina
View attachment 1972107
Na sijui hiyo kandarasi ilitangazwa lini, yaani ni kufa kufaana kumbe kuna watu wanavuta kiulaini pesa ya wazungu, si ajabu utakuta hizo kandarsi wamepeana kwa kujuana.Ni nani aliyeshinda hiyo zabuni ya hiyo campaign?