Serikali yakubaliana na mkandarasi arudi saiti kukamilisha stendi ya Ngangamfumuni

Serikali yakubaliana na mkandarasi arudi saiti kukamilisha stendi ya Ngangamfumuni

Joined
Jul 27, 2024
Posts
26
Reaction score
12
HONGERA MBUNGE MSOMI PRISCUS TARIMO BINGWAA

Baada ya mkwamo wa miaka mingi, hatimaye sasa serikali imefikia makubaliano na kampuni ya ujenzi ya CRJE @crje_zanzibar kurejea site na kukamilisha stand yetu ya kimataifa ya Ngangamfumuni..

Hii ni furaha sana kuona stand hii ikimapiziwa na Serikali imesikia kilio Cha mbunge wetu kila mara BUNGENI na nje ya bunge akikutana na viongozi wakubwa kuwakumbushia umaliziaji wa ujenzi wa stand ya ngangamfumuni....

Tumeshuhudia mbunge wetu akiisemea stand hii mara kadhaa bungeni na hatimaye kazi ya kupambania stand hii imezaa matunda na sasa inakwenda kumaliziwa na kampuni ya ujenzi imeridhia kumaliza ujenzi wa stand hiyo...

Tunamshukuru Mama Samia Rais wetu kwa kuzidi kuendelea kuwa msikivu kwa Yale ambayo mbunge wetu anafikisha katika serikali yake sikivu..

Hongera Mbunge PRISCUS TARIMO amethibitisha uwezo wako wa kupambania Moshi kimaendeleo..

Hongera mkurugenzi wa manispaa @⁨Mkurugenzi Mwajuma Abasy⁩ malkia wa nguvuu mpigania maendeleo moshi hongera sana tunaona mapambano yako kusimamia vema manispaa yetu..

MAMA SAMIA MITANO TENA ✅✅

PRISCUS TARIMO BINGWAA MAMBO UNAYO FANYA TUNA YAONA TULIA KWENYE KITI CHAKO CHA UBUNGE MITANO TENA ✅✅✅

BY ✍🏾
IMG-20250227-WA0001.jpg
IMG-20250227-WA0002.jpg
MWANDISHI BORA
 
Nani aliyekwamisha huo Ujenzi? Maji yaliyokuwa yanapanda kutoka ardhini na kuvunja Jengo yameshadhibitiwa?
 
Shida sio kuendelea Kwa ujenzi bali changamoto ya mkondo mkubwa wa maji chini ya jengo unaotishia usalama watakaokaa kwenye jengo umepata suluhisho?

Hii ni kutokana na kudharau taarifa ya wataalamu kuhusu eneo husika. Tusubiri siasa ilete janga ya jengo la kariakoo
 
Hiyo stand wangeachana nayo tu kwani hii iliyopo saivi ina shida gani ina vyumba kiibao gorofani mle havina wapangaji
 
Back
Top Bottom