#COVID19 Serikali yakusudia kuchanja asilimia 60 ya Watanzania Chanjo ya Coronavirus

Kwani nyie mapolisi mnavyo taka kulazimisha watu wawe magaidi mnategemea nini
 
SIO KWELI, kama hitaji kuu ni kuua watu. Kuna njia nyingi mbadala zingefanyika tena kwa ueledi wa hali ya juu bila watu kupiga kelele hivi. Chanjo ni muhimu sana!!
Kabisa, wange -mix kwenye bia tu, kiulaiiini !
 
Huenda mtaanza na wenye kadi za chama
 
Chanjo hamtaki.na wala hamsemi tutumie nini ili Corona isitumalize. Watanzania mmeshindikana.
 
Wanataka kutuua
Kuwa ua kwa corona au kwa chanjo? maana umeshaambiwa ni hiyari:kama ilivyo kwa chanjo zote hapa TZ,mfano Homa ya manjano,Hepatitis B,ile ya kansa ya kizazi kwa mabinti.Hutashikiwa kisu,Im sure ikifika unauhitajita utaitafuta mwenyewe tu.
 
Chanjo hamtaki.na wala hamsemi tutumie nini ili Corona isitumalize. Watanzania mmeshindikana.
Wacha tuendelee kuzikana,Ulaya walileta nyodo za hivyo hivyo,walivyoanza kupukutika walizitafuta wenyewe hizo chanjo.

Cha msingi ni serikali kuweka uratibu mzuri wa kuendesha hizo chanjo
 
Sayansi si SIASA.

Tusidharau SAYANSI.

Nimeshaliandaa BEGA LANGU kuchomwa hiyo CHANJO.

Siko peke yangu.

Washkaji zangu waliokuwa WANAZIPINGA nao wameamua KUBADILIKA.

Kongole serikali yetu adhimu👍💪💪🙏🙏

#NchiKwanza
#AfyaKwanza
#KaziInaendelea
 
Vp upo tayari tukudunge tako.ni
au bado unajiuliza?
Jana tumemuona Prof.Lipumba akiwa ameinua mkono wa T-SHIRT bega juu na PLASTA.....

Kumbe sisi tusio na elimu tunadungwa matakoni ?!!!🤣🤣
 
Watanzania hatuko tayari kwaajili ya huo upumbavu unaoitwa chanjo ya corona

Kama wanaitaka wachanje wao na familia zao. Pumbavu kabisa
 
tumechoka Na kelele za chanjo..... si wailete halafu ndo tupigizane makelele.....

#hachomiwi MTU hapa mpaka wabadilishe ile form ya kujaza..... serikali Iwe responsible Kwa madhla yatayo tupata tusije kuwa mazombie......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…