#COVID19 Serikali yakusudia kuchanja asilimia 60 ya Watanzania Chanjo ya Coronavirus

I bet haina uwezo huo wa kuchanja asilimia 40 katu katu i bet

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Huenda mtaanza na wenye kadi za chama
Wanachama wa CCM watahamashishwa wote waoneshe uzalendo kwa kuwa mfano wa kukubali kuwa wa kwanza kudungwa chanjo kwa maslahi ya nchi.
 
Wakianza kuweka checkpoints munitag wakuu nikimbilie Southern Sudan
 
Huiogopi Corona unaiogopa chanjo?! haya maajabu yako Tz pekee.
Tanzania peke yake ?

Mpaka leo July 23, 2021, nchini Marekani 56% ya Wananchi wamepokea chanjo...

Nusu iliyobaki wamekataa!

Hata sisi tunaweza kuigomea!
 
Pumzika kwa amani John Pombe Joseph Magufuli.

Hakika ulivipiga vita vilivyo vizuri, na mwendo ukaumaliza.
 
Safari zako za Kwampalange- Kwamtogole wala huhitaji hiyo chanjo. Acha wenye malengo yao ya kimaisha wakajipatie chanjo.
Umemkosea sana mkuu,huyu safari zake ni za IRAN
 
Habari za jion wana JF poleni na mihangaiko ya kila siku na mapambano haya ya gonjwa hili hatari la COVID19 chini ya third wave
.
.
.
Napenda kuchukua fursa hii kuipongeza serikali kwa kukubali msaada wa chanjo kutoka taiifa kubwa na linaloogopeka kwa nguvu za kijeshi duniani kuisaidia nchi masikini kama yetu ni jambo la kushukuru Tajiri anapomkumbuka maskini ni mara chache sana kutokea
.
.
.
Kwakua chanjo iliyotolewa ni chache na hawajasema kama wataongeza na idadi ya watanzania ni zaidi ya million sitini na kitu ningependa kwanza kusikia kauli ya raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mh samia suluhu hassani juu ya ubora na ufanisi wa hii chanjo na pia atuondolee hofu na mashaka kwakua matamko yamekua mengi ya kupinga hii chanjo na kwakuzingatia hilo ningeomba awe wa kwanza kuchomwa hadharani ili kujenga uaminifu na kujiamini kwa mwanachi wa kawaida.
.
.
Jambo lingine ambalo ndio msingi wa andiko langu ningependa hii chanjo waanze kupewa ndugu zetu wa dini ya kiislamu wanaokwenda kuhiji ili wawe na vigezo vya kuingia mji mtakatifu wa macca (kama sijakosea) na viongozi wa serikali ambao wanasafiri sana nje ya nchi ili tuepuke kila kiongozi aende kuchanjwa nje kila anaposafiri


Jambo la mwisho naomba nitoe angalizo kwa manaounga mkono chanjo na wanaopinga kuona haja kuja na suluhisho kila mmoja na huja mujarabu na sio matusi na kebehi kwa kila upande sisi ni watanzania na tunaijenga Tanzania moja tofauti zetu za kimtazamo zisifanye kuharibu umoja wetu wa kitaifa nadhani hii ni njia sahihi
.
.HITIMISHI:
SIJAWAHI CHANJWA IWE PEPOPUNDA POLIO WALA NINI HII ITAKUA CHANJO YANGU YA KWANZA NA NNA MIAKA ZAIDI YA 25 HOSPITALI SIIJUI NA KINGINE TOKA UMEINGIA HUU UGONJWA SIJAWAHI ONA WALA KUSIKIA KWA MTU JIRANI ANAUMWA HUU UGONJWA NAUSIKIA TUU REDIONI NA KWENYE RUNINGA NA KUSOMA KWENYE MAGAZETI NAWAPA POLE WALIOTANGIA MBELE ZA HAKI KWA HUU UGONJWA NA WANAOUMWA HUU UGONJWA NA KINACHONITIA HOFU WANAOKUFA NA HUU UGONJWA NI WATU WENYE PESA ZAO NAWASIWASI NIKIUPATA MIMI MASKINI SIJUI ITAKUAJE MUNGU NISAIDIE
.
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…