Serikali yakutana na wapinzani Ikulu ili kujenga umoja na mshikamano

Serikali yakutana na wapinzani Ikulu ili kujenga umoja na mshikamano

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
President Uhuru Kenyatta on Tuesday held a meeting with a cross-section of political party leaders at State House, Mombasa.

In a statement to newsrooms, State House spokesperson Kanze Dena said the consultative meeting discussed several subjects touching on the State of the Kenyan Nation.

Those present in the meeting were ODM leader Raila Odinga, ANC’s Musalia Mudavadi, Kalonzo Musyoka of Wiper, Moses Wetangula of Ford Kenya and KANU’s Gideon Moi.

Also present was Kakamega Governor and ODM Deputy Party Leader Wycliffe Oparanya.

“Among the subjects discussed by the leaders were, Covid-19’s impact on the country and how to revamp the economy; and the importance of maintaining peace, unity and national cohesion,” said Kanze Dena.

Kenya Vyama.jpg
 
Hapa bongo kuna ka kikundi ka kigaidi kanataka kaitwe peke yake na rais, mtaitwa wote kwa pamoja kwa muda wa rais.
 
Kuteuliwa kwa kigezo cha kuwapa vijembe wapinzani bungeni sasa udhoofu wako unaonekana.
 
Hapo kinaongelewa ukabila tu Kenyatta na wakikuyu wake ,Odinga na Wajaluo wake ,n k Kenya hakuna upinzani Kuna ukabila !!!! Ni kikao Cha viongozi wa makabila chini ya mwenyekiti kiongozi wa kabila la wakikuyu Kenyatta Kama mwenyekiti
 
Ukiangalia vizuri hapo hao wapinzani wote hamna sura ya kigaidi hapo.
Lakini pia wapinzani wa ndani kama Ruto wanazuiwa hata kwenda Uganda
Na kwa historia ya hivi karibuni hakuna mizoga iliyopatikana kandoni mwa maziwa na mito ya nchi hiyo.
 
Hapo kinaongelewa ukabila tu Kenyatta na wakikuyu wake ,Odinga na Wajaluo wake ,n k Kenya hakuna upinzani Kuna ukabila !!!! Ni kikao Cha viongozi wa makabila chini ya mwenyekiti kiongozi wa kabila la wakikuyu Kenyatta Kama mwenyekiti
Tanzania kuna ubaguzi wa ccm na wasiyo iunga mkono ccm
 
Hapo kinaongelewa ukabila tu Kenyatta na wakikuyu wake ,Odinga na Wajaluo wake ,n k Kenya hakuna upinzani Kuna ukabila !!!! Ni kikao Cha viongozi wa makabila chini ya mwenyekiti kiongozi wa kabila la wakikuyu Kenyatta Kama mwenyekiti
Hivi ile certificate ulimaliza? Ninakumbuka ukituaga unakwenda kusoma.
 
Wapinzani watakao karibishwa Ikulu na serikali ya CCM ni Shibuda, Mrema, Cheyo na Lipumba.
Kama kuna juice, hela ya kula na maandazi, basi hata kina Mnyika watakwenda tu. Hawa jamaa ukiweka pesa mbele unawakamata vizuri tu.
 
Hivi ile certificate ulimaliza? Ninakumbuka ukituaga unakwenda kusoma.
Nilikatiza sababu ya Corona waliponiambia lockdown yaja nikarudi Tanzania mbio .Nikaona to tafia ugenini .Mimi Niko beyond certificate I am not your equal
 
Back
Top Bottom