Serikali yakutana na wapinzani Ikulu ili kujenga umoja na mshikamano

Odinga kwa Sasa sio mpinzani wa serikali ya Kenya. Ni sawa na Cheyo na Hamadi Rashid. Mpinzani wa kweli ni Rutho. Kama Kweli Kenyata ana nia ya kuleta maridhiano Kenya basi akutane na Rutho.
 
Ya Kenya yanamsaidiaje bibi yako kijijini?
Yanamsaidia mtanzania kujua kuwa serikali sikivu daima utafuta umoja na ushirikiano kutoka kwa kada zote kwenye jamii.
 
Ukiangalia vizuri hapo hao wapinzani wote hamna sura ya kigaidi hapo.
Lakini pia wapinzani wa ndani kama Ruto wanazuiwa hata kwenda Uganda
Acha mawazo mgando,changanua akili yako kwa manufaa ya taifa na si kwa manufaa ya tumbo lako.
 
Hapo hamna mpinzani.



Mpinzani wa kweli ni huyu hapa
anawajali watu wa hali ya chini
👇🏽👇🏽👇🏽

 
Hapo kinaongelewa ukabila tu Kenyatta na wakikuyu wake ,Odinga na Wajaluo wake ,n k Kenya hakuna upinzani Kuna ukabila !!!! Ni kikao Cha viongozi wa makabila chini ya mwenyekiti kiongozi wa kabila la wakikuyu Kenyatta Kama mwenyekiti

Na sisi tulianza huku mwenyekiti mmoja wa chama akianza kua mwenyekiti wa wasukuma,tunafurahi technique hio ilifeli.
 
Waaambie huku Tz wanasingiziwa kuwa Wanafuga Na kuunda Magaidi! Mwambie Bro Uhuru kuwa wanamsema huku?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…