Pre GE2025 Serikali yakwamisha tena dhamana ya Boniface Jacob (Boni Yai)

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
1727365224736.png

Serikali imekwamisha tena uamuzi wa hatima ya dhamana ya meya wa zamani wa Ubungo, Boniface Jacob maarufu ‘Boni Yai’ baada ya kuibua maombi mengine mapya kuwa wanataka kuwasilisha kiapo cha ziada leo Alhamisi Septemba 26, 2024.

Hakimu Mkazi Mfawidhi, Franco Kiswaga alitarajia kutoa uamuzi juu ya maombi ya Serikali yaliyowasilishwa September 19, 2024 lakini kabla ya kutoa uamuzi huo Serikali imewasilisha maombi mengine ya kiapo cha ziada.

Kutokana na maombi hayo mapya, kesi hiyo imeahirishwa hadi October 01, 2024 ambapo Mahakama itatoa uaumuzi.

Itakumbukwa Jacob ambaye kada wa CHADEMA alifikishwa mahakamani hapo akikabiliwa na mashtaka mawili ikiwemo kuchapisha taarifa za uongo katika mitandao ya kijamii.

Nje ya mahakama, Wakili wa utetezi Peter Kibatala amesema “Tumepinga vikali hoja za Serikali juu ya kiapo cha ziada kwamba Mahakama imesikiliza ushahidi kisha ikapanga hukumu na wewe unaleta tena Shahidi tukasema hapana hiyo sio sahihi, tunaamini uamuzi ungetolewa kama ulivyopangwa matokeo yangekuwa mazuri kwa Boniface, hivyo Mahamama kwa busara imeona itatoa uamuzi October 1,2024”

Soma Pia:
 
Huku nje hali siyo nzuri watu wanatekwa sana ni vyema Boni Yai akaendelea kupewa ulinzi na serekali mahabusu, mahakama isije ikampa dhamana watu wenye nia mbaya wakamteka na kumuua huku nje
 
Serikali imekwamisha tena uamuzi wa hatima ya dhamana ya meya wa zamani wa Ubungo, Boniface Jacob maarufu ‘Boni Yai’ baada ya kuibua maombi mengine mapya kuwa wanataka kuwasilisha kiapo cha ziada leo Alhamisi Septemba 26, 2024.

Kutokana na maombi hayo mapya ya Serikali, mvutano mkali uliibuka baina ya mawakili wa pande zote.

Mahakama imelazimika kuahirisha tena uamuzi wa hatima ya dhamana yake hadi Oktoba 1, 2024 itakapotoa uamuzi wa maombi hayo mapya ya Serikali, hivyo ‘Boni Yai’ ataendelea kusota mahabusu tena mpaka tarehe hiyo.

Soma Pia:
Aisee
 
Kula Chuma icho, we si mbishiii........
 
Maneno hayo yanafanana na aya katika Qur'an,

Surat At-Tariq (86:9):يَوْمَ تُبْلَى السَّرَائِرُ
"Siku ambayo yatakapofichuliwa yaliyomo vifuani."Aya hii inazungumzia Siku ya Kiyama (Siku ya Hukumu) ambapo siri zote zilizofichwa ndani ya nyoyo za watu zitadhihirishwa. Ni ukumbusho wa umuhimu wa nia safi na ukweli katika matendo yetu, kwani hakuna kinachoweza kufichika mbele ya Allah.
 
Serikali imekwamisha tena uamuzi wa hatima ya dhamana ya meya wa zamani wa Ubungo, Boniface Jacob maarufu ‘Boni Yai’ baada ya kuibua maombi mengine mapya kuwa wanataka kuwasilisha kiapo cha ziada leo Alhamisi Septemba 26, 2024.

Kutokana na maombi hayo mapya ya Serikali, mvutano mkali uliibuka baina ya mawakili wa pande zote.

Mahakama imelazimika kuahirisha tena uamuzi wa hatima ya dhamana yake hadi Oktoba 1, 2024 itakapotoa uamuzi wa maombi hayo mapya ya Serikali, hivyo ‘Boni Yai’ ataendelea kusota mahabusu tena mpaka tarehe hiyo.

Soma Pia:
Mama ana sema hakuna mtumishi wa serikali an weza kupoteza risasi kwa kupiga mtu labda haja fundishwa kutumia silaha. Watu wanao sema wamepigwa risasi 32 sio kweli.
Cha ajabu alikwenda kumuona Nairobi na Ubelgiji
 
Serikali imekwamisha tena uamuzi wa hatima ya dhamana ya meya wa zamani wa Ubungo, Boniface Jacob maarufu ‘Boni Yai’ baada ya kuibua maombi mengine mapya kuwa wanataka kuwasilisha kiapo cha ziada leo Alhamisi Septemba 26, 2024.

Kutokana na maombi hayo mapya ya Serikali, mvutano mkali uliibuka baina ya mawakili wa pande zote.

Mahakama imelazimika kuahirisha tena uamuzi wa hatima ya dhamana yake hadi Oktoba 1, 2024 itakapotoa uamuzi wa maombi hayo mapya ya Serikali, hivyo ‘Boni Yai’ ataendelea kusota mahabusu tena mpaka tarehe hiyo.

Soma Pia:
Huu serikali ni ya walevi wauaji wenye roho mbaya sana
 
Mahakama ingekuwa mhimili wa haki isingeruhusu huu upumbavu

Polisi wanapaswa kumlinda kama wanasrma intelejensia yao inaonesha yupo hatarini na siyo kumuweka mahabusu
 
Huku nje hali siyo nzuri watu wanatekwa sana ni vyema Boni Yai akaendelea kupewa ulinzi na serekali mahabusu, mahakama isije ikampa dhamana watu wenye nia mbaya wakamteka na kumuua huku nje
Mmeishiwa.
 
#SegereMatata.

Maneno huumba, jamaa alijiambia mwenyewe kwamba ana hamu ya kwenda jela.

Cha ajabu, Martin Maranja Masese anayemchochea kwenye matukio humuoni, yeye anachochea huko Twitter tu.

Sasa hivi Martin kama navyomuona anajikaangia mayai nyumbani kwa Boni kadri anavyotaka. Anatoa maagizo tu kwa mahousegirl Na yeye atarudi tarime Kanenepa kama Boni.

Hakimu akiamua tunatupia Notice ya rufaa proocedings za mahakama ya chini zisimame, huko High Court ikakae miezi miwili au mitatu, tunaitupa Court of Appeal, huko Itakaa mwaka
 
Serikali imekwamisha tena uamuzi wa hatima ya dhamana ya meya wa zamani wa Ubungo, Boniface Jacob maarufu ‘Boni Yai’ baada ya kuibua maombi mengine mapya kuwa wanataka kuwasilisha kiapo cha ziada leo Alhamisi Septemba 26, 2024.

Kutokana na maombi hayo mapya ya Serikali, mvutano mkali uliibuka baina ya mawakili wa pande zote.

Mahakama imelazimika kuahirisha tena uamuzi wa hatima ya dhamana yake hadi Oktoba 1, 2024 itakapotoa uamuzi wa maombi hayo mapya ya Serikali, hivyo ‘Boni Yai’ ataendelea kusota mahabusu tena mpaka tarehe hiyo.

Soma Pia:
 
Attachments

  • VID-20240926-WA0040.mp4
    24.1 MB
Back
Top Bottom