Serikali yalifungia shindano la miss Tanzania

Nafikiri badala ya kufungia mashindano kwa miaka miwili, wangefungia waandaaji kwa maana kampuni kwa miaka miwili. Mashindano yanaweza kuendelea chini ya kampuni nyingine.
 
serikali imelifungia shindano la miss tanzania kwa miaka miwili kwa kukiuka taratibu

Wakati Rais Kikwete anapigania ajira kwa Watanzania hawa wanapunguza ajira, hawajui hata Mzee wa Degree 3 naye ni wakala wa Miss Tanzania?
 
lifungiwe tu ukiona mpaka Basata wamekubali kuwa kwenye miss tz kuna rushwa ya ngono ujue hali ilikuwa mbaya wameona ngoja watoe adhabu mapema wasije wakaescrowiwa baadae big up Basata
 
Hivi mashindano ya umiss sio kama TFF ambako serikali hairuhusiwi kuingilia kabisa
 
Aisee, wamechukua hatua haraka! Wangefanya hivyo ktk kashfa nyinginezo za ufisadi ingekuwa bomba sana.

Vv
 
lifungiwe tu ukiona mpaka Basata wamekubali kuwa kwenye miss tz kuna rushwa ya ngono ujue hali ilikuwa mbaya wameona ngoja watoe adhabu mapema wasije wakaescrowiwa baadae big up Basata

Me nafikiri wangefungia kampuni inayoendesha haya mashindano na kupewa zabuni kwa kampuni nyingine. Hivi unafikiri rushwa ya ngono ipo Miss Tz pekee?
 
Me nafikiri wangefungia kampuni inayoendesha haya mashindano na kupewa zabuni kwa kampuni nyingine. Hivi unafikiri rushwa ya ngono ipo Miss Tz pekee?

nimekupata mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…