Serikali yamfungia masanii Roma Mkatoliki Kujihusisha na Muziki kwa miezi 6

Wanataka tuimbe ile yanayoimbaga"[emoji445][emoji445][emoji445]WACHA WAISOME NAMBA"
 
Wanatumia nguvu kuwafungia wakati kuna channels kibao...
Wanaimbiwa wasikilizaji so wanaimbiwa kitu wao wanachopenda kusikiliza..
Elimisheni jamii kwanza iache kupenda matusi muone kama wataimba matusi..
Watu hawataji zenye ujumbe, wenye ujumbe hufa masikini na kushindwa kurudisha hata hela ya studio..

Elimisheni jamii isipende nyimbo hizo muone kama wasanii watazipiga hizo
 
huyu fala nilimweleza sana juu ya nyimbo zake za hovyo anazo imba kipindi hiki.
Nikamwambia watanzania watakuchoka na kukuona choko siku za usoni,
Nyimbo zilizo kufanya utoke si hizi unazoimba sa hivi, Jamaa akaniblock huko instagram, sasa yamemtokea puani
Shenzio taipuuu
 
Hizo nyimbo zimedumu zaidi ya mwaka sasa mpk zinaanza kuchuja, ina maana hii sirikali yenu ndio imeziona leo??? Duu bora nibaki zangu hku Angola [emoji1029].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…