Serikali yamwekea pingamizi Mbowe kesi aliyofungua dhidi ya DPP, AG na IGP

Sema unapenda tumbo lako kupitia lumumba.
 
Hapa kuna suala limenipiga chenga. Kumbe inawezekana wakati mwenzangu kanishitaki, na mimi ninaweza wakati huohuo kumshitaki? Ninatoka mahakamani kujibu tuhuma dhidi yangu leo, kisha kesho na yeye anaenda mahakamani kujibu tuhuma dhidi yake.
 
Mbowe anatapatapa tu sasa, ule ujanja ujanja wake umefikia tamati. Amehodhi Chaga gangsters.
Kama wanachadema ka na mashitaka waliyomfungulia kwa nini wanahangaika kukata Rufaa?
 
Mfa maji haishi kutapatapa.
aache kesi ya msingi ingurume kama kweli yeye sio Gaidi, kwa nn anataka kesi ifutwe hata kabla ngoma haijachezwa?! anafahamu uovu wake wote utawekwa hadharani ni wananchi wataijua tabia yake ovu dhidi ya nchi hii.
Lazima una uwendawazimu.

Kesi hii ni ya msingi maana inalenga kuzuia ukamataji wa kihuni na mashtaka ya kipumb.avu kama haya aliyobambikiwa Mbowe. Itazuia hawa mashetani kuwapitisha watu wengine kwenye upumba.vu huu aliopitishwa Mbowe
 
Ungekuwa unaipenda Tanzania, ungetoa mchango wako wa kuzuia tusiwe na polisi magaidi na serikali gaidi.
 
Mbowe anatapatapa tu sasa, ule ujanja ujanja wake umefikia tamati. Amehodhi Chaga gangsters.
Wenye shida ni wale wanaopinga kushitakiwa kwa kukamata watu na kuwaweka ndani bila kufuata sheria za nchi yaani waweka pingamizi aka serikali.
 
Kwan aliefungua kesi si mbowe?
Badala ya kupambana na kesi ya ugaidi anatafuta njia za mkato kujinasua
Ukifungua kezi za kubambikiza ambazo hata Rais anajua wanafanya na amewaonya kwa ujinga huo, lazima zipingwe mahakamani. Labda kama ndiyo sera yako na chama chako husika!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mfa maji haishi kutapatapa.
aache kesi ya msingi ingurume kama kweli yeye sio Gaidi, kwa nn anataka kesi ifutwe hata kabla ngoma haijachezwa?! anafahamu uovu wake wote utawekwa hadharani ni wananchi wataijua tabia yake ovu dhidi ya nchi hii.
Unafikiri wananchi wataamini???
 
Siasa za vyama vingi zinahitaji kuvumiliana Sana na pia kuheshimu mawazo mbadala.siasa za chuki na hisia mbaya zinatengeneza majuto mengi ya siku zijazo.Demokrasia ni gharama.
 
Nchi yako umeinya wapi?.Toa ujinga hapa.wewe ni chawa tu wa ccm na hakuna anayekujua zaidi yakuimba ngonjera uku JF zaidi ya hapo huna jipya.Eti nchi yako.Mafiii.
 
Ni vise vesa, Wewe na chama chenu cha magaidi (kina Hamza) ndo mnaoharibu amani ya nchi yetu!
 
Unafikiri wananchi wataamini???
Kama anajiamini yeye sio Gaidi siaache kesi isikilizwe na ushahidi utolewe kwa nn anarukaruka?! anakimbilia mahakama kuu eti kupinga kuwa utaratibu haukufuatwa/haukuzingatiwa wakati anashitakiwa hivyo anaomba afutiwe kesi!! haaa!! utulie uovu wake wote uanikwe mbele ya pilato.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…