johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Serikali ipo machame!uganda kuna serikali?
Ndege mpya ya Uganda Airline inayomilikiwa na serikali ya Uganda leo imezindua rasmi safari zake za kwenda Mombasa Kenya kwa kile kilichoelezwa kuwa kutangaza na kuimarisha sekta ya utalii.
Msemaji wa Uganda amesema sasa ndege za shirika hilo zinamilikiwa na serikali tofauti na hapo awali zilipokuwa chini ya sekta binafsi.
Source Citizen tv
My take; Maono ya Rais Magufuli yamewafungua macho viongozi wengi wa Afrika na sasa wanajifunza kwake.
Maendeleo hayana vyama!
Ndege zinalitangaza taifa bwashee....... Na faida yake si lazima ionekane kwa kipimo cha fedha!..na Tz tumefuata maono ya Raisi Kagame.
..Kagame hajawahi kupata faida tangu ajiingize mazima ktk biashara ya usafiri wa anga.
..nahisi ununuzi wa ndege ni KICHAKA CHA ULAJI / UPIGAJI.
..Vinginevyo nini kinawasukuma kujiingiza ktk mradi ambao wanajua watapata hasara?
Ndege mpya ya Uganda Airline inayomilikiwa na serikali ya Uganda leo imezindua rasmi safari zake za kwenda Mombasa Kenya kwa kile kilichoelezwa kuwa kutangaza na kuimarisha sekta ya utalii.
Msemaji wa Uganda amesema sasa ndege za shirika hilo zinamilikiwa na serikali tofauti na hapo awali zilipokuwa chini ya sekta binafsi.
Source Citizen tv
My take; Maono ya Rais Magufuli yamewafungua macho viongozi wengi wa Afrika na sasa wanajifunza kwake.
Maendeleo hayana vyama!
Nchi ambazo hazina ndege hazijitangazi?Ndege zinalitangaza taifa bwashee....... Na faida yake si lazima ionekane kwa kipimo cha fedha!
Ametuachia wewe dada yetu wa mchepukoni!Na baba yako ameacha kitu gani kwenye Familia yenu au ndio watoto mnamsaidia?
Ndege zinalitangaza taifa bwashee....... Na faida yake si lazima ionekane kwa kipimo cha fedha!
Ndege zinalitangaza taifa bwashee....... Na faida yake si lazima ionekane kwa kipimo cha fedha!
Sijui huwa nakuonaje? Kama wewe sio ndondocha utakuwa Ni zezetaHuku Tanzania kuna wapinzani wanapinga kununua ndege
Kwahiyo Zambia ni Tanzania bwashee?!Haaaa haaaa wajinga ndio waliwao, ndege zinaishia Zambia zinatangaza taifa gani?
Kwahiyo Zambia ni Tanzania bwashee?!
Hv Uganda kuna utaliiNdege mpya ya Uganda Airline inayomilikiwa na Serikali ya Uganda leo imezindua rasmi safari zake za kwenda Mombasa Kenya kwa kile kilichoelezwa kuwa kutangaza na kuimarisha sekta ya utalii.
Msemaji wa Uganda amesema sasa ndege za shirika hilo zinamilikiwa na Serikali tofauti na hapo awali zilipokuwa chini ya sekta binafsi.
Chanzo: Citizen tv
My take; Maono ya Rais Magufuli yamewafungua macho viongozi wengi wa Afrika na sasa wanajifunza kwake.
Maendeleo hayana vyama!