Serikali yaokoa dola milioni 600, miezi 4 ya DP World bandarini

Moaka civil pressure ipande ndio mnaleta hizi habari. Mkiambiwa mmetunga mtakataa?

Kama ni kweli pongezi kwa serikali. Ila hili linatakiwa lisemwe sikuzote. Si mpaka civil unrest itokee
 
Kama ni kweli Kwa Nini wafanyabiashara wa Tanzania na Uganda wameongezeka wanaoagiza mzigo Yao kupitia bandari ya Mombasa.Nchi hii imekuwa ya kusifiasifia tu hata kwenye ujinga.kwa ufupi dp world ni janga Kwa taifa letu.
 
Asante mama kwa kulisaidia taifa, tumechezewa sana, hizi zilikuwa zinapotea tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…