Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Joined Feb 3, 2009 Posts 42,872 Reaction score 34,363 Feb 21, 2023 #1 Serikali yaondoa tarehe ya ukomo wa Vitambulisho vya Taifa. Your browser is not able to display this video.
Serikali yaondoa tarehe ya ukomo wa Vitambulisho vya Taifa. Your browser is not able to display this video.
Chillah JF-Expert Member Joined Oct 12, 2016 Posts 8,870 Reaction score 10,066 Feb 21, 2023 #2 Safi, wasihishie hapo... Wafyatue vitambulisho na watu wapewe... Watu wana namba bila kitambulisho mwaka sijui wasaba...
Safi, wasihishie hapo... Wafyatue vitambulisho na watu wapewe... Watu wana namba bila kitambulisho mwaka sijui wasaba...
B BodGanleonid JF-Expert Member Joined Nov 14, 2022 Posts 3,021 Reaction score 4,330 Feb 21, 2023 #3 Watoe hivyo vitambulisho sasa.
Zogwale JF-Expert Member Joined Jul 10, 2008 Posts 15,295 Reaction score 10,928 Feb 21, 2023 #4 Vipya wameshindwa kutoa watatoka vya marudio? NIDA ivunjwe iundwe upya na viongozi wapya na Watumishi wapya. Pia ifuatiwe na NHIF. Tatizo kuvunjwa ni ngumu maana watoto wa vigogo watagushwa
Vipya wameshindwa kutoa watatoka vya marudio? NIDA ivunjwe iundwe upya na viongozi wapya na Watumishi wapya. Pia ifuatiwe na NHIF. Tatizo kuvunjwa ni ngumu maana watoto wa vigogo watagushwa
Ushimen JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 40,828 Reaction score 99,523 Feb 21, 2023 #5 NIDA ingevunjwa na kisha vitambulisho vya taifa vingetolewa idara ya uhamiaji kwa kuongeza dawati la Vitambulisho vya taifa
NIDA ingevunjwa na kisha vitambulisho vya taifa vingetolewa idara ya uhamiaji kwa kuongeza dawati la Vitambulisho vya taifa