Serikali yapeleka huduma ya mabasi ya Mwendokasi Kibaha

Mbezi Kwenda Posta na Kariakoo yametosha kutoa huduma bila misongamano au kuwasubirisha abiria muda mrefu vituoni?

Je, una uhakika yameanza rasmi 'route' hiyo?
 
ila ndio ivyo tena ajira za madereva wa daladala zinakufa ivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…