Replica
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,681
- 8,887
Serikali ya Kenya imezikumbusha mamlaka zake umri wa kustaafu kwa watumishi wa umma kilazima ni miaka 60 na 65 kwa wenye ulemavu kulingana na kanuni za tume ya utumishi wa umma za mwaka 2017 na tume au mamlaka yoyote ya uteuzi haitakiwi kuongeza muda kwa watumishi hao.
Wizara ya utumishi wa umma imegundua watumishi wa umma wanakata rufaa kuiomba tume kuongezewa muda bila sababu za msingi hivyo imetoa barua kubatilisha mashauri yote yanayohusu kuongezewa muda baada ya mtumishi kufikisha umri wa kustaafu kilazima.