Democrasia
Member
- Feb 1, 2008
- 79
- 3
Wakuu poleni na kazi, kuna habari ambazo naamini kuwa ni rasmi ni kuwa uwanja wa ndege wa KIA umerudi serekalini. Hii nadhani ni baada ya watu kushikilia bangu kodi kidunchu iliyokuwa ikilipwa serekalini yaani US$ 1000 KWA MWAKA wakati income per day was is around TSH 20,000,000
Je hela zetu anaondoka nazo? ie the difference between what he was paying and what he was getting assuming the lease was for ten years in maana anaondoka na zaidi ya shs 71,200,000,000/=.
aliyenegotiate na kuapprove mkatabaa naachiwa tu hivihivi,mbona liyumba aliyejenga Twin Towe ambacho ni na kitu tangible kinaonekana kinatumika anasota rumande na huyu anaachiwa tuu.
Msokoto wa bangi jela miezi 12, kuiba kuku mmoja kwa ajili ya kuganga njaa kupigwa hadi kufa, karani kuchukua rushwa ya shs 50,000/= kosa litaandikwa kwenye magazeti yote tanzania huyu bwana anaondoka na hela zetu tunamuangalia tu.
je mitanzania ( ikiwa ni sehemu ya miafrika) ndivyo tulivyo au wantanzania tuna laana?????
Dawa yake nini??????
Lini tutaamka toka usinginzi mzito unaotukabili????

Si kweli uwanja umerudi serikalini. Ila imenunua hisa na kuwa 95% na inatafuta mwekezaji mwingine imuuzie hizo hisa. Uwanja wa KIA ni mzuri sana na pengine baadhi ya sehemu imeuzidi hata wa Nyerere......
Je hela zetu anaondoka nazo? ie the difference between what he was paying and what he was getting assuming the lease was for ten years in maana anaondoka na zaidi ya shs 71,200,000,000/=.
aliyenegotiate na kuapprove mkatabaa naachiwa tu hivihivi,mbona liyumba aliyejenga Twin Towe ambacho ni na kitu tangible kinaonekana kinatumika anasota rumande na huyu anaachiwa tuu.
Msokoto wa bangi jela miezi 12, kuiba kuku mmoja kwa ajili ya kuganga njaa kupigwa hadi kufa, karani kuchukua rushwa ya shs 50,000/= kosa litaandikwa kwenye magazeti yote tanzania huyu bwana anaondoka na hela zetu tunamuangalia tu.
je mitanzania ( ikiwa ni sehemu ya miafrika) ndivyo tulivyo au wantanzania tuna laana?????
Dawa yake nini??????
Lini tutaamka toka usinginzi mzito unaotukabili????
Wakuu poleni na kazi, kuna habari ambazo naamini kuwa ni rasmi ni kuwa uwanja wa ndege wa KIA umerudi serekalini. Hii nadhani ni baada ya watu kushikilia bangu kodi kidunchu iliyokuwa ikilipwa serekalini yaani US$ 1000 KWA MWAKA wakati income per day was is around TSH 20,000,000
Pamoja na kwamba $ 1000 ni kidogo sana, lakini si ni afadhali analipa hiyo hela serikalini ? Mbona kabla ya hapo serikali ndo ilikuwa inatumia pesa za kodi zetu kuiendesha, na walikuwa wanatengeneza hasara tu.
Je hela zetu anaondoka nazo? ie the difference between what he was paying and what he was getting assuming the lease was for ten years in maana anaondoka na zaidi ya shs 71,200,000,000/=.
aliyenegotiate na kuapprove mkatabaa naachiwa tu hivihivi,mbona liyumba aliyejenga Twin Towe ambacho ni na kitu tangible kinaonekana kinatumika anasota rumande na huyu anaachiwa tuu.
Msokoto wa bangi jela miezi 12, kuiba kuku mmoja kwa ajili ya kuganga njaa kupigwa hadi kufa, karani kuchukua rushwa ya shs 50,000/= kosa litaandikwa kwenye magazeti yote tanzania huyu bwana anaondoka na hela zetu tunamuangalia tu.
je mitanzania ( ikiwa ni sehemu ya miafrika) ndivyo tulivyo au wantanzania tuna laana?????
Dawa yake nini??????
Lini tutaamka toka usinginzi mzito unaotukabili????
Pamoja na kwamba $ 1000 ni kidogo sana, lakini si ni afadhali analipa hiyo hela serikalini ? Mbona kabla ya hapo serikali ndo ilikuwa inatumia pesa za kodi zetu kuiendesha, na walikuwa wanatengeneza hasara tu.
Haya mawazo haya ndo yanatupeleka huko ingawa ni kidogo afadhali kulipwa dola 1,000, sababu kabla erikali ndo ilikuwa inatumia pesazetu za kodi kuiendesha.
Premise in that sense ingekuea ni nani aliyekuwa anafaidika na hela wakati huo na amefanyiwa nini kama njia ya kumuadabisha kuliko kusema afadhali kidogo.
Rasilimali zinakwenda na sisi tunaangalia tu hakuna answerabiliky or whatever.
my GOD
Mawazo haya ni mazuri tu (rejea kwa nini socialist economic principles/gvt. takeovers zilivyofeli flat). Tatizo letu watu wanaosimamia mali zetu wanatumia nafasi hizi kuingia mikataba ya ajabu ajabu kwa faida yao - kama huu wa kukodisha $ 1000 kwa mwaka.[/QUOTE]
Tutaendelea kuwaangalia na kuwachekea mpaka lini, hili ndilo swali la msingi. Lazima hatua madhubuti zichukuliwe kama serikali itakaa kimya na sie tukae tu lazima hatua zichukuliwe in one way of the other.