Maendeleo Kwanza1
Member
- Apr 4, 2020
- 16
- 7
Tatizo ilikuwa ulegevu wa serikali. Kuna wakurugenzi ndani ya shirika, waliamua kuunda kampuni zao au kuwa na shares bubu ktk makampuni ya binafsi. Ni kama uzembe ulioruhusu Mramba kuwa waziri wa uchukuzi wakati akiwa na shares shirika la ndege la binafsi.Ukiachana na Tanesco, hili lilitakiwa kua shirika la pili kwa kuingiza profit kubwa ndani ya nchi. Shirika limetajirisha wengi kwa ufisadi. Pamoja na favour ya taasisi nyingine za serikali kama Tanesco,Udart,nk kufanya biashara na shirika hili kizalendo bado mwishoni mwa mwaka linazidiwa faida na private insurance company kama alliance. Hii ina maanisha huku mtaani Wana kasi ndogo kwenye biashara.
Sent using Jamii Forums mobile app