johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kirahisi rahisi tu hivi harakati nyuma ya keyboard"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe katiba mpya"!
"Samiah jiuzulu Sasa nchi imeshakushinda ulambaji asali umekuponza"!
Watumishi wengi vilazaMtumishi na akili zake anakatwa mshahara anachangia TUCTA
Hao tucta wanalalamika hivyo si kwamba wanamuonea huruma mtumishi ila wameona makusanyo ya ada kutoka kwa vyama vya wafanyakazi hayajaongezeka kwa kiwango walichotarajiaMtumishi na akili zake anakatwa mshahara anachangia TUCTA
Rais wa ovyo ovyo sana huyu hafai haka kumaliza miaka miwili madarakani ...maana tz inakwenda kukwama kiuchumi siku si nyingi"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe katiba mpya"!
"Samiah jiuzulu Sasa nchi imeshakushinda ulambaji asali umekuponza"!
Nawaonea huruma mabinti zetu sekondariWatumishi tuendelee kula kulingana na urefu wa kamba zetu. Imepita hiyo, hakuna jipya tena