Serikali yasema imewapa muda TUCTA wakajadiliane kuhusu mishahara mipya, na TUCTA wasema wameipa muda serikali

Marehem hasemwi vibaya kwenye mimbari same walivyo mnanga ndivyo watakavyo nagwa
 
Ila serikali imewachukulia poa sana watumishi wa nchi hii aisee
 
Hawa tucta wapumbavu.
Mbona kipindi cha Jiwe hawakuweza kuipa muda serikali ijieleze
Serekali na tucta ni wamoja, maigizo upepo upite maisha yaendelee,

TUCTA mwanzo ilikuwa JUWATA moja ya tasisi za CCM, pamoja na UWT, Jumuiya ya Wazazi, na Jumuiya ya Vijana,

Huyu Mwenyekiti wa Tucta ni mtoto wa Peter Nyamohokya ambaye alikuwa Mwenyekiti wa OTTU kabla ya kuitwa Tucta,
 
kwa hiyo wanawatengeneza sio
 
Serikali haina Pesa ina Matumizi Makubwa kuliko Mapato
km Pesa zinazotumika kuwalipa kina HALIMA na Genge lake ni Matumizi mabaya ya KODI za Wananchi hawana Sifa ya kuwa Wabunge Fedha hizo zingekwenda kwenye NYONGEZA ya Mishahara
 
Ila Msigwa anatupanga sana. Ndugu yetu credibility yake inashuka kwa Kasi ya ajabu.
 
Kumbe
 
mimi sijaelewa maana mwanzo walisema ni asilimia 23 leo wanasema wakajadili vitu gani hivi tena
Huyu Jamaa ni msanii hafai. Kwa Nini tusiitishe maandamano yasiyo na kikomo akaondolewa?
 
Serikali haina Pesa ina Matumizi Makubwa kuliko Mapato
km Pesa zinazotumika kuwalipa kina HALIMA na Genge lake ni Matumizi mabaya ya KODI za Wananchi hawana Sifa ya kuwa Wabunge Fedha hizo zingekwenda kwenye NYONGEZA ya Mishahara

Ungesema hivi: fedha zote wanazolipwa wabunge kwa ujumla wao ni matumizi mabaya ya kodi za wananchi. Kuwepo au kutokuwepo kwa Bunge hakuna tofauti. Hawa ni kupe wasiokuwa na manufaa yoyote kwa taifa letu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…