Elections 2010 Serikali yasema kuwa ili gazeti lisifungiwe, liandike hivi

Elections 2010 Serikali yasema kuwa ili gazeti lisifungiwe, liandike hivi

mchonga

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2006
Posts
1,233
Reaction score
248
9989199.jpg
 
Hahha haha sidhani km itaweza kutokea:biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 
Aaah hiyo kali.....wakataa msaada kwa kuwa hawana shida..
 
Serikali ya kilaza kikwete haina chochote cha maana inachofanya zaidi ya kuaibisha nchi yetu.
 
KIPANYA BABA
Nimecheka kweli, na huu ndio ukweli wenyewe,hii ndio inabidi iwe heading ya Mwananchi kesho
OK, Kipanya zamu yako nayo ya kufungiwa imefika manake hii itakuwa ni mojawapo ya katuni maarufu kipindi hiki cha uchaguzi.let wait sijui kado naye atakujaje
Kwanza michuzi ataiweka?


Abiziani.................................................
 
  • tena ongezea,vita dhidi ya wathumiwa wa ufisadi yashika kasi
  • sekta ya madini yawanufaisha wazawa
  • vifo vya wakina mama na watoto vyapungua kwa kasi ya ajabu
  • serikali yapandisha hospitali za wilaya zote kuwa za rufaa
  • mauaji ya albino na vikongwe yamekuzwa na watu wenye chuki binafsi na serikali
  • sera ya elimu na afya bure ni porojo mtupu za kisiasa
 
For sure this has to be the best katuni of the year!!
 
Ninai credit kwa stars nyingi katuni hii. Hakika Kipanya uko juu.
 
Kipanya mbunifu sana. Nimecheka kwelikweli. Tanzania yaisaidia Japan?
 
Computer hadi shule ya msingi Tandahimba. Nadhani tutasubiri sana.

Big up Masoud.
 
KP uko juu! this is one of the best cartoons ever!!!
 
KP, nawachukia sana wale jamaa zako-wewe unawajua! Lakn wewe UKO JUU balaa, ukiachana na wale tu, unakuwa mwanaharakati wa kweli!
 
masoud wewe ni mwanaharakati wa kweli na hili lipo wazi kupitia kazi zko,i wish hizi kazi ziwe katika mfumo wa maongezi na zirushwe na tv huru,kip it up,bravooooooooooooo!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom