Serikali yasema si Sahihi kupima Faida ya ATCL Kwa kuangalia Mauzo ya Ticket bali Ongezeko la Watalii, yapongeza ubunifu wa Shujaa Magufuli!

Msemaji wa Serikali Mh Msigwa amesema kimsingi ATCL inapata Faida kutokana na kusababisha Watalii kuongezeka mara Sugu

Msigwa amesema huwezi kupima faida ya ATCL Kwa kuangalia mauzo ya ticket pekee

RIP shujaa Magufuli

Mlale unono 😀
Huo ni upumbav wa hali ya juu, ni kujarubu kuficha failure ya atcl kwa kichaka hiko
Hamna logic hamna relation whatsover
 
Msemaji wa Serikali Mh Msigwa amesema kimsingi ATCL inapata Faida kutokana na kusababisha Watalii kuongezeka mara Sugu

Msigwa amesema huwezi kupima faida ya ATCL Kwa kuangalia mauzo ya ticket pekee

RIP shujaa Magufuli

Mlale unono 😀
Mwamba bado anaishi kila wanavyojaribu kumtumia kabedera na lissu kufifisha sifa ila mwamba kabaki kuwa maji....!
 
Sasa kama mauzo ya ticket si ya kuangalia hizo ndege zinahusika vipi na huo wingi wa watalii, ama wanakuja kuziangalia?
Watalii wakija wengi wanaongeza Mapato Kwa sekta mbali mbali

Happy New Year 😄
 
Sasa ATCL imehusika vipi? Watalii bongo wanakuja na Emirates, Qatar Airways, KQ, Ethiopian Airlines na wakifika bongo ndege zao ni AURIC, COSTAL, PW
 
Zinabeba watalii wa ndani wanaenda kutalii na pia honeymoon kwenye mbuga za wanyama za rubondo na Burigi-chato.
Sasa kama mauzo ya ticket si ya kuangalia hizo ndege zinahusika vipi na huo wingi wa watalii, ama wanakuja kuziangalia?
 
Watalii wanakuja kwa ndege za mashirika yenye akili then shirika chakavu linajifagilia kuficha uozo wake!
 
Msemaji wa Serikali Mh Msigwa amesema kimsingi ATCL inapata Faida kutokana na kusababisha Watalii kuongezeka mara Sugu

Msigwa amesema huwezi kupima faida ya ATCL Kwa kuangalia mauzo ya ticket pekee

RIP shujaa Magufuli

Mlale unono 😀
Faida ya biashara ya mchele, inatokana na faida ya biashara ya madini 🤣🤣🤣. Hii ni sawa na maendeleo ya tZ yanatokana na USA.
 
Back
Top Bottom