johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mbona watalii wenyewe wanakuja na Ethiopia airlines?Msemaji wa Serikali Mh Msigwa amesema kimsingi ATCL inapata Faida kutokana na kusababisha Watalii kuongezeka mara Sugu
Msigwa amesema huwezi kupima faida ya ATCL Kwa kuangalia mauzo ya ticket pekee
RIP shujaa Magufuli
Mlale unono π
Huo ni upumbav wa hali ya juu, ni kujarubu kuficha failure ya atcl kwa kichaka hikoMsemaji wa Serikali Mh Msigwa amesema kimsingi ATCL inapata Faida kutokana na kusababisha Watalii kuongezeka mara Sugu
Msigwa amesema huwezi kupima faida ya ATCL Kwa kuangalia mauzo ya ticket pekee
RIP shujaa Magufuli
Mlale unono π
Mwamba bado anaishi kila wanavyojaribu kumtumia kabedera na lissu kufifisha sifa ila mwamba kabaki kuwa maji....!Msemaji wa Serikali Mh Msigwa amesema kimsingi ATCL inapata Faida kutokana na kusababisha Watalii kuongezeka mara Sugu
Msigwa amesema huwezi kupima faida ya ATCL Kwa kuangalia mauzo ya ticket pekee
RIP shujaa Magufuli
Mlale unono π
Watalii wakija wengi wanaongeza Mapato Kwa sekta mbali mbaliSasa kama mauzo ya ticket si ya kuangalia hizo ndege zinahusika vipi na huo wingi wa watalii, ama wanakuja kuziangalia?
Sasa ATCL imehusika vipi? Watalii bongo wanakuja na Emirates, Qatar Airways, KQ, Ethiopian Airlines na wakifika bongo ndege zao ni AURIC, COSTAL, PWWatalii wakija wengi wanaongeza Mapato Kwa sekta mbali mbali
Happy New Year π
Sasa kama mauzo ya ticket si ya kuangalia hizo ndege zinahusika vipi na huo wingi wa watalii, ama wanakuja kuziangalia?
Twiga akipaa angani ni promotion toshaSasa ATCL imehusika vipi? Watalii bongo wanakuja na Emirates, Qatar Airways, KQ, Ethiopian Airlines na wakifika bongo ndege zao ni AURIC, COSTAL, PW
Wana uhusiano gani na hizo ndege?Watalii wakija wengi wanaongeza Mapato Kwa sekta mbali mbali
Happy New Year π
ATCL inahusikaje na watalii kuja kwa wingi?Watalii wakija wengi wanaongeza Mapato Kwa sekta mbali mbali
Happy New Year π
Ndege ina nembo ya Twiga anayependwa zaidi na Watalii πWana uhusiano gani na hizo ndege?
Faida ya biashara ya mchele, inatokana na faida ya biashara ya madini π€£π€£π€£. Hii ni sawa na maendeleo ya tZ yanatokana na USA.Msemaji wa Serikali Mh Msigwa amesema kimsingi ATCL inapata Faida kutokana na kusababisha Watalii kuongezeka mara Sugu
Msigwa amesema huwezi kupima faida ya ATCL Kwa kuangalia mauzo ya ticket pekee
RIP shujaa Magufuli
Mlale unono π