Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Kwa ufupi ni mambo ya hovyo sana, watu wanaweza kuchukua taarifa zako na kuzisambaza mtandaoni!. Watu wanasema dawa ya deni kulipa ila si kwa kudhalilishana pale mtu anaposhindwa kulipa.
Ndugu yangu amefadhaika sana baada ya kampuni moja ya mtandaoni kumsambazia jumbe za kumdhalilisha. Kweli taifa tumefikia hapa?
It's not fair Kuna watu wanajiua kwa sababu ya udhalilishaji wanaofanyiwa na makampuni haya. Serikali na vyombo vya usalama walindeni Watanzania hata kama wanakopa na kuchelewesha kulipa Bado Wana haki ya kulindwa.
Soma Pia: