Sijaona suluhisho hapa.NA KAMA VILE NISISITIZAVYO KILA SIKU, BADO VIONGOZI WETU NI WAVIVU WAKUFIKIRI! Unapoona waziri mwenye hadhi ya 'uprofesa' na mkurugenzi mwenye hadhi ya 'uprofesa' wanaletewa hoja na bila kufikiri wana come up with conclusion kuwa sera ya uchangiaji 'haikwepeki' bila hata ya kufikiri na kutathmini kwa kina,hapa,binafsi,naona kuna tatizo! Ni uvivu ule ule wa kutokuwajibika! Majibu ya mazoea na ya kukariri!