Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Toeni ajira bora, watu wataacha kuendesha bajaji na kupanga nyanya barabaraniHakuna mji ambao hakuna utaratibu huku duniani..
Magufuli alikose tu kusema watu watoke vijijiji kuindensha boda ma bajaji na kupanga nyanya barabarani ... ni matokeo ya sera ya Magufuli
Halafu wakitoa bajaji alternative yao ni ipi. Daladala zitaongezeka au?
Na vipi kuhusu madereva bajaji, wahame Mbeya au watafute kingine cha kufanya? Hawatokuwa vibaka na kuongeza uhalifu Mbeya?
Niko Mbeya mwaka wa 3 sasa. Najua bajaji ni nyingi. Still sio sahihi kuzisitisha. Kama barabara zingepanuliwa mapema kusingekuwa na msongamanoMzee baba kama hujawahi shuhudia utitiri wa bajaj basi fika Mbeya...vile vidude ni vingi na barabara kuu ni moja tu...
Hivi kwani Dar hakuna utitiri wa bajaj? Kuna kitu wanatakiwa kufanya, bajaj na bodaboda zimekuwa nyingi sana. Wasitishe usability kwa mda kidogo, watafute namna nzuri ya kumiliki na kuziendesha hizi motors na tricycle aisee...
Hiyo picha ya juu ifute.Niko Mbeya mwaka wa 3 sasa. Najua bajaji ni nyingi. Still sio sahihi kuzisitisha. Kama barabara zingepanuliwa mapema kusingekuwa na msongamano
View attachment 3696525View attachment 3696526
SawaHiyo picha ya juu ifute.
Unaweza kuwa unamchoma jamaa bila kujua.