Kenyan
JF-Expert Member
- Jun 7, 2012
- 414
- 314
Waziri wa usalama wa ndani Professor Kithure Kindiki ametangaza kuwa serikali imesitisha shughuli ya kusaka miili ya waumini wa dhehebu la mchungaji Paul Mackenzie kutokana na mvua kubwa inayoshuhudiwa Kilifi muda huu.
'Wataalam wameshauri tusitishe kidogo kwani ni shughuli inayohitaji kuwa makini zaidi. Udongo inapaswa usiwe na unyevunyevu kwa lengo la kutoharibu ushahidi."
Miili zaidi ya 110 imepatikana mpaka kufikia sasa.