Serikali yataja hatua nane kudhibiti mfumuko wa bei

Rashda Zunde

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2022
Posts
204
Reaction score
231
Serikali imetaja hatua nane zilizochukuliwa katika kudhibii mfumuko wa bei ili kuhakikisha unaendelea kubaki ndani ya wigo wa tarakimu moja.

1. Imeimarisha sekta za uzalishaji ili kuongeza upatikanaji wa bidhaa unaoendana na mahitaji.
2. Kutoa ruzuku kwa ajili ya kupunguza bei ya nishati ya mafuta kiasi cha sh. bilioni 100 kwa mwezi.
3. Kutoa ruzuku ya pembejeo za mbegu na mbolea.
4. Kutoa unafuu wa kodi katika uagizaji wa baadhi ya bidhaa muhimu.
5. Kuruhusu watu wenye uwezo wa kuleta mafuta kwa bei nafuu.
6. Kuanzisha mfuko wa kuhimili ukali wa bei za mafuta baada ya bei za mafuta kutulia katika soko la dunia.
7. Kuanzisha hifadhi ya mafuta ya kimkakati.
8. Kuanzisha upokeaji wa mafuta katika ghala moja.
 
Wata tekeleza ama itaishia kwenye maandishi.
 
Namba 8 sijaikubali kabisa ....wamezingua
 
Back
Top Bottom