Serikali yatangaza ajira mpya 9,675 kada za Ualimu na Afya

Hii shida inatokana na Nini kila nikiuplood barua, inaganda hivi
 
Ivi mwisho ni machaguo mangapi ya shule? maana kuna mtu kanambia kaweka machaguo 10
 
Wakuu, mimi nikitaka ku login naambiwa bad credentials. Tatizo ni nni hapo?
 
Serikali haiwezi ajili walimu wote ....ulishauriwa jitolee kuna faida yake wewe ukakomaa boda boda sasa leo unalalamika tukusaidiaje????
Sasa ukijitolea unaishije mzee...au mlikuwa mnalipwa mshahara!?
 
Kupiga vimizinga ni kipaji kile,usidhani kila mtu anaweza
 
Msaada tafadhali! Nilisahau password za account yangu ya maombi ya ajira nikajaribu kubadili ikashindikana, nikajaribu kufungua account nyingine ikafanikiwa ila kila nikiingiza index no. system inasema index number already exist. Nitumie njia gani kufanikisha maombi?
 
Reset password utumie account yako ya zamani. Mfumo haukubali mtu mmoja kuwa na account mbili tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…