Serikali yatangaza ajira mpya 9,675 kada za Ualimu na Afya

Waliokua wanajitolea na wasiojitolea utawabaini vipi? Maana kigezo cha barua zakujitolea wote wanakua nazo tofauti ni mmoja anatumia Tsh 20,000- 50,000 kuipata kwa mkuu wa shule na mwingine anapewa bure.
Hakika
 
Kwanza kupata nafasi ya kujitolea ni shughuli na hupati

Hapo wanawatafita wakwao tu

Sent from my Moto E (4) using JamiiForums mobile app
 
Kwanza kupata nafasi ya kujitolea ni shughuli na hupati

Hapo wanawatafita wakwao tu

Sent from my Moto E (4) using JamiiForums mobile app
Nafasi za kujitolea zipo nyingi Sana kwa masomo ya sayansi kwenye shule za sekondari za kata (lakini kinachokatisha tamaa na watu wengi kushindwa kwenda kujitolea bila malipo ya aina yoyote) Yani kila kitu ujihudumie unachopewa Ni vipindi,vitabu, lesson plan na chaki) hicho kinatufanya wengi wetu kukata tamaa ya kwenda kujitolea kwa namna hiyo

Kwa upande mwingine wapo baadhi wanaojitolea huku wakilipwa ujira mdogo na wazazi wenye wanafunzi kuanzia elfu sabini Hadi laki na hamsini na ndo wengi wao wanaosema wamejitolea.

Lakini ukitaka kujitolea bila malipo shule zipo nyingi ata leo nilikua naoongea na teacher mkuu mmoja akaniambia niende kufundisha lakini bila malipo.
 
Hivi vyuo vya ualimu shule za msingi vilipelekwa TCU au bado vipo nacte?

Maana naweka NACTE inagoma.

Msaada,namwombea dogo.

Ila nikiweka TCU inakubali
 
Hivi vyuo vya ualimu shule za msingi vilipelekwa TCU au bado vipo nacte?

Maana naweka NACTE inagoma.

Msaada,namwombea dogo.

Ila nikiweka TCU inakubali
Kwan cheti chako kimetolewa na Nacte au Tcu?
Angalia cheti chako kama ni ualimu diploma au certificate kama ulifanya mitihani ya Necta au Nacte.
Vyuo vya ualimu wanafanya mitihani ya NECTA na vyeti ni vya NECTA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…