Serikali yatangaza kumalizika kwa mlipuko wa ugonjwa wa Marburg nchini

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Serikali kupitia Waziri wa Afya nchini imetangaza kumalizika kwa mlipuko wa ugonjwa wa virusi vya Marburg katika Wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera.

Taarifa hiyo imetolewa na Waziri wa Afya, Jenista Mhagama leo Machi 13, 2025 akisema mgonjwa wa mwisho aliyethibitika kuwa na virusi hivyo (MVD) aliripotiwa Januari 28, 2025 hivyo hadi kufikia Machi 11, 2025, ni siku 42 zinakuwa zimepita tangu kuwepo kwa mgonjwa huyo wa mwisho.

1741869665223.jpeg

“Kitaalamu na kulingana na kanuni na taratibu za Shirika la Afya Duniani WHO, tumekidhi vigezo vya kutangaza rasmi kumalizika kwa mlipuko wa MVD. Hivyo basi, leo Machi 13, 2025, ninatangaza rasmi kumalizika kwa mlipuko wa MVD nchini,” amesema Mhagama.

Januari 20, 2025, Rais Samia Suluhu Hassan, alitangaza uwepo wa mlipuko wa ugonjwa wa Virusi vya Marburg mkoani Kagera, ambapo wagonjwa wawili walithibitika kuwa na maambukizi.

Source: Mwananchi
 
View attachment 3269183

Update From dada wa taifa

View: https://x.com/mangekimambi/status/1900190937885909218?t=PcVZSQsZqe1Dyoy-iY1VSw&s=19
 
Wakuu,

Serikali kupitia Waziri wa Afya nchini imetangaza kumalizika kwa mlipuko wa ugonjwa wa virusi vya Marburg katika Wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera.

Taarifa hiyo imetolewa na Waziri wa Afya, Jenista Mhagama leo Machi 13, 2025 akisema mgonjwa wa mwisho aliyethibitika kuwa na virusi hivyo (MVD) aliripotiwa Januari 28, 2025 hivyo hadi kufikia Machi 11, 2025, ni siku 42 zinakuwa zimepita tangu kuwepo kwa mgonjwa huyo wa mwisho.

View attachment 3269183

“Kitaalamu na kulingana na kanuni na taratibu za Shirika la Afya Duniani WHO, tumekidhi vigezo vya kutangaza rasmi kumalizika kwa mlipuko wa MVD. Hivyo basi, leo Machi 13, 2025, ninatangaza rasmi kumalizika kwa mlipuko wa MVD nchini,” amesema Mhagama.

Januari 20, 2025, Rais Samia Suluhu Hassan, alitangaza uwepo wa mlipuko wa ugonjwa wa Virusi vya Marburg mkoani Kagera, ambapo wagonjwa wawili walithibitika kuwa na maambukizi.

Source: Mwananchi
Tunamshukuru maza kwa kuiondoa Marburg.
 
Wanatokomezaje kwa kufanya maombi kama aliyofanya marehemu JPM
 
Kuna mtihani mwingine wa mlipuko. Sababu uzoefu upo tayari, nategemea siku kadhaa tutaumaliza. Kwa jitihada mahususi za Serikali yetu
 
Wakuu,

Serikali kupitia Waziri wa Afya nchini imetangaza kumalizika kwa mlipuko wa ugonjwa wa virusi vya Marburg katika Wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera.

Taarifa hiyo imetolewa na Waziri wa Afya, Jenista Mhagama leo Machi 13, 2025 akisema mgonjwa wa mwisho aliyethibitika kuwa na virusi hivyo (MVD) aliripotiwa Januari 28, 2025 hivyo hadi kufikia Machi 11, 2025, ni siku 42 zinakuwa zimepita tangu kuwepo kwa mgonjwa huyo wa mwisho.

View attachment 3269183

“Kitaalamu na kulingana na kanuni na taratibu za Shirika la Afya Duniani WHO, tumekidhi vigezo vya kutangaza rasmi kumalizika kwa mlipuko wa MVD. Hivyo basi, leo Machi 13, 2025, ninatangaza rasmi kumalizika kwa mlipuko wa MVD nchini,” amesema Mhagama.

Januari 20, 2025, Rais Samia Suluhu Hassan, alitangaza uwepo wa mlipuko wa ugonjwa wa Virusi vya Marburg mkoani Kagera, ambapo wagonjwa wawili walithibitika kuwa na maambukizi.

Source: Mwananchi
Hee siku chache umedhibitiwa😃
 
Pandemic series
Ebola
Covid 19
Ebola
Chikungunya
Marbug
Mpox

Next?
 
Back
Top Bottom