akili za makalioni hizo yaaani unatangaziwa ugonjwa umeisha wewe unataka kucheka yaaani kuwa chadema ndiyo ukose na akili ujinga wa hali ya juu sana huoNimejikuta nacheka tu
Nachekelea serikali yetu sikivuakili za makalioni hizo yaaani unatangaziwa ugonjwa umeisha wewe unataka kucheka yaaani kuwa chadema ndiyo ukose na akili ujinga wa hali ya juu sana huo
Mimi nimelia sana. Huu ugonjwa siyo wa kufanyia usanii na mizaha. Jana tunaambiwa mgonjwa mmoja kaibuliwa, leo tunaambiwa hakuna maradhi hayo tena. Tusiweke rehani roho za Watanzania kwa kutafuta kiki za kijinga.Nimejikuta nacheka tu
Laiti ungejua nini kinaendelea, usingeandika ulichokiandika.akili za makalioni hizo yaaani unatangaziwa ugonjwa umeisha wewe unataka kucheka yaaani kuwa chadema ndiyo ukose na akili ujinga wa hali ya juu sana huo
Ni chawa la kijani huyoLaiti ungejua nini kinaendelea, usingeandika ulichokiandika.
Update From dada wa taifaWakuu,
Serikali kupitia Waziri wa Afya nchini imetangaza kumalizika kwa mlipuko wa ugonjwa wa virusi vya Marburg katika Wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera.
Taarifa hiyo imetolewa na Waziri wa Afya, Jenista Mhagama leo Machi 13, 2025 akisema mgonjwa wa mwisho aliyethibitika kuwa na virusi hivyo (MVD) aliripotiwa Januari 28, 2025 hivyo hadi kufikia Machi 11, 2025, ni siku 42 zinakuwa zimepita tangu kuwepo kwa mgonjwa huyo wa mwisho.
View attachment 3269183
“Kitaalamu na kulingana na kanuni na taratibu za Shirika la Afya Duniani WHO, tumekidhi vigezo vya kutangaza rasmi kumalizika kwa mlipuko wa MVD. Hivyo basi, leo Machi 13, 2025, ninatangaza rasmi kumalizika kwa mlipuko wa MVD nchini,” amesema Mhagama.
Januari 20, 2025, Rais Samia Suluhu Hassan, alitangaza uwepo wa mlipuko wa ugonjwa wa Virusi vya Marburg mkoani Kagera, ambapo wagonjwa wawili walithibitika kuwa na maambukizi.
Source: Mwananchi
Tunamshukuru maza kwa kuiondoa Marburg.Wakuu,

Hee siku chache umedhibitiwa😃Wakuu,