SERIKALI YATANGAZA TAMKO RASMI:mafua ya nguruwe yaingia tanzania

SERIKALI YATANGAZA TAMKO RASMI:mafua ya nguruwe yaingia tanzania

Teamo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2009
Posts
12,271
Reaction score
1,052
Imethibitika wazi kabisa na serikali kupitia wizara ya afya kwamba MAFUA YA NGURUWE yameingia rasmi tanzania!na tayari kuna mgonjwa wa aina hiyo!

USHAURI WA BURE KWA WAZEE WA MDUDU!wale wakata munjwanga ambao ni lazima wapate ile mambo.open your eyes people

STAY TUNED!itaendelea..................
 
kuna mwanafunzi mmoja raia wa ungireza aliyaleta aligundulika na ugonjwa huo uwanja wa ndege wa kimataifa wa jk nyerere wakat anajaza fomu
 
naibu waziri wa afya dk kigoda aliongea na waandishi wa habari leo
 
Back
Top Bottom