JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Serikali imetenga Tsh. bilioni 10 kwa ajili ya kuendeleza ujenzi wa soko jipya la Kariakoo na kukarabati soko kuu lililoungua moto Julai 2021
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Innocent Bashugwa amesema hayo wakati akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya wizara, leo Aprili 14, 2022
Aidha, TAMISEMI imeliomba Bunge kuidhinisha makadirio ya mapato na matumizi ya kiasi cha shilingi trilioni 8.76 kwa mwaka wa fedha 2022/23 kwa wizara hiyo
Source: Azam TV