BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Mbunge wa Makete (CCM), Festo Sanga ametaka sababu za kutengwa fedha hizo kwa ajili ya Vijiji 48 Wilayani Mbarali wakati timu ya Mawaziri 8 imevifuta na havipo.
Amesema Serikali ilisaini mikataba 15 ya kuwezesha umwagiliaji na kuhoji nani atafaidika na fedha hizo wakati tayari Mawaziri wamefuta Vijiji.
Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba ametetea fedha hizo kutengwa akisema bado majadiliano baina ya Wananchi na Serikali ya kuvifuta vijiji hivyo yanaendelea.
===================