peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Tathmini ya utekelezaji wa mpango kazi wa kwanza wa Kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto inaonyesha jumla ya Sh30.5 bilioni zimetumika katika utekelezaji wa afua za kukabiliana na vitendo vya ukatili dhidi ya watoto.
2. Hizi fedha zilitumika kufanya kazi zipi na wapi?
3. Hii wizara ni lazima isimamiwe na jinsia moja TU? Ninaona tunapigwa na kitu kizito.
Source: Mwananchi, , Mei 31, 2024
2. Hizi fedha zilitumika kufanya kazi zipi na wapi?
3. Hii wizara ni lazima isimamiwe na jinsia moja TU? Ninaona tunapigwa na kitu kizito.
Source: Mwananchi, , Mei 31, 2024