Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Mitandao yao ifungwe!Si wanasema unamuongezea umri?
Sio kwa kupinda hivi[emoji116]View attachment 1815441
Serikali haijakaa kimya juu ya wahalifu wanaokashifu, kuzusha uongo na kuleta taharuki katika jamii ikiwemo uzushi wa taarifa za vifo vya viongozi. Wahusika watapatikana na hatua za kisheria zitachukuliwa. Watanzania tulieni na endeleeni kuchapa kazi. Gerson Msigwa MMS
View attachment 1815126
Ifungwe kabisaMitandao yao ifungwe!
Hihihihih[emoji116]View attachment 1815441