Serikali yazifungia rangi za midomo "Lipstick" za Wema Sepetu

Politics tu hizi unafikiri angekua kijani wangemsumbua
yeye akazanie ile app yake tu
 
Sawa,lakini mlizipitisha wenyewe. Na je, watu ambao wameishazitumia mtawafidiaje kwa madhala waliyoyapata maana mnasema hazifai kwa matumizi ya binadamu. Tukumbukeni taifa litajengwa na upendo, umoja,mshikamano na amani kwa faida ya watanzania wote Wa sasa hata vizazi vijavyo bila kujali rangi, kabila,dini na hata itikadi ya mtu. Utanzania kwanza !
 
Ikiwezekana na yeye akamatwe...kama hazina vigezo fungia bila kuangalia rangi wala jina...
Mange anasemaje?
 
Huwa kuna muda unapewa wa majaribio na kiasi cha bidhaa kupelekwa sokoni....
Mnalia kwakuwa ni za Wema Sepetu....
 
Ikiwezekana na yeye akamatwe...kama hazina vigezo fungia bila kuangalia rangi wala jina...
Mange anasemaje?
nani alimpa vibali vya kuingizwa nchini kwa mara ya kwanza kama sio wenyewe??
na nn kimetokea saa hv akat mwanzo viwe halali saa hv sio halali

kosa lake linajulikana ila sio hzo lipstick
 
nani alimpa vibali vya kuingizwa nchini kwa mara ya kwanza kama sio wenyewe??
na nn kimetokea saa hv akat mwanzo viwe halali saa hv sio halali

kosa lake linajulikana ila sio hzo lipstick
Unaniuliza maswali wakati ukiwa umesha andaa majibu yako...
Ni kwambie tuu swala la viwango na ubora si mara moja hasa kwenye vyakula na dawa ni swala kila leo hivyo unaweza kupewa kibali cha muda huku wakifanya uchunguzi wa kina kwa bidhaa yako..na huwa wana kwambia na kukushauri mambo ya kurekebisha....na wanakupa kiasi cha kusambaza kwa majaribio...
Kama wewe ni rafiki wa Wema nenda kamuulize kabla na baada ya kuruhusiwa kusambaza hizo lipstick aliambiwa nini ya kurekebisha na alipewa muda gani?
Punguzeni kulia lia.....
 
nani alimpa vibali vya kuingizwa nchini kwa mara ya kwanza kama sio wenyewe??
na nn kimetokea saa hv akat mwanzo viwe halali saa hv sio halali

kosa lake linajulikana ila sio hzo lipstick
Kitu chochote chaweza kuwa sahihi inawezekana ikawa anafanyiwa figisu, lakini pia kupitisha mara ya kwanza si kigezo kwa kuwa unaweza pata kibali baadae batch zinazofuata ukavunja standard na kuchakachua hivo kupitia continous monitoring ya product ikabainika umeanza uchakachuzi.
 
Politics tu hizi unafikiri angekua kijani wangemsumbua
yeye akazanie ile app yake tu
Amini usiamini hata hiyo app watasema inawaumiza macho, hivyo haifai kabisa hii nchi ni kufelishana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…