Serikali yazuia mtandao wa X na TikTok, walazimika kutumia VPN ili kupata huduma kwenye mitandao hiyo

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakenya wengi waripoti shida ya kuweza kutumia mtandao wa X pamoja na TikTok.

Hii ni baada ya mitandao hii kutumika zaidi kupanga harakati za maandamano na kuhamasishana kuunga mkono maandamano hayo.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…