EMMANUEL JASIRI
Senior Member
- Feb 2, 2015
- 150
- 84
TAIFA la Tanzania halina dini ila wananchi wanazo dini zao na Imani zao isipokuwa zisivunje Sheria za nchi.
Hata hivyo kwa makusudi wamekuwepo Watu ambao wanazishambulia Imani za watu wengine kwa lugha mbaya za udhalilishaji na waziwazi lakini Wana angalia tu
Kuna wanaitwa, maaskofu, wachungaji, mashehe, mitume, Manabii, wainjilisti n.k
Utawakuta waziwazi wakiidhalikisha imani ya mtu mwingine kupitia mahubiri yake au hotuba lakini hafuatiliwi
Kama kweli nina uhuru wa kuabudu bila kuvunja Sheria za nchi ni kwa nini mtanzania mwenzangu anitamkie maneno ya kunikera na kuniudhi kwa Kile nacho kiamini,
Mfano,unamkuta kiongozi mmoja wa dini anamshutumu kiongozi mwingine hadharani kuwa ni mwizi au tapeli bila kuthibitisha kisheria
Leo hii viongozi wa dini wanatumia muda wao katika mahubiri kuyataja makundi ya Imani fulani fulani kuwa ni ya kutapeli,wezi bila kuthibitisha
Kama ni kweli Kwanini hawawaripoti polisi
Na kama si kweli, Kwanini serikali yetu isiwachukulie hatua za kisheria viongozi wa dini wanazua uongo ili kuwachafua viongozi wenzao katika dini?
Kusema ukweli kila asibugudhiwe katika imani yake kama havunji sheria yoyote ya nchi
Wachungaji,mashehe, maaskofu,mitume au Manabii au yeyote akiingilia uhuru wa ibada ya mtu mwingine mchukulieni hatua haraka.
Vingine to Serikali nitakuwa hamtutendei haki ya uhuru wa kuabudu.