Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Leo nimeulizwa na mzungu mmoja ambaye nafanya kazi naye shirika moja hapa Tanzania, hivi serikali yenu huwa akili wanazo kweli?.
Kutumia gharama kupeleka wasanii sababu ni nini? Hapa Tanzania tuna wasomi ambao wangepelekwa wangekuja na mtazamo mpya kwa walichokiona kama teknolojia, afya, maendeleo na n.k.
Najua Tanzania tuna wawekezaji nao wangepelekwa ingekuwa rahisi kutaka kuwekeza huko kwenye bidhaa zitokanazo Tanzania, utalii, uvuvi na n.k.
Sasa unapeleka wasanii ndio wanapost video kutuonesha ujinga