FrankLutazamba
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 448
- 409
Kama serikali pendwa imewakumbuka wasanii waliotutoka mfano Steve Kanumba(Bongo Movies)aliyepewa milioni 20,mzee Majuto(Vichekesho)Milioni 50,na wengine,basi tunaiomba iwakumbuke na wenye ulemavu wa ngozi(albino)waliovamiwa na kukatwa mikono yote miwili bila hatia,sasa wanalelewa na masista,
Ni vyema wakawa na hela zao,japo naipongeza serikali ya awamu ya tano kwa kukomesha mauaji haya na kuionyesha dunia kuwa mchimbaji anaweza kupata madini bila ushirikina kama Laizer alivyopata na mwingine wa juzijuzi.
Nb:barua yangu niliyomwandikia Rais Magufuli bado sijapata mrejesho,ninakuomba mh.Uifanyie kazi,asante.