Serikali yetu wana mpango gani na wanafunzi UDOM?

Serikali yetu wana mpango gani na wanafunzi UDOM?

Vunjavunja

Member
Joined
May 18, 2012
Posts
92
Reaction score
11
Leo zikiwa zimebaki siku 42 kumaliza semister ya pili wanafunzi hawajapata fedha yao ya kujikimu, kiukweli hali ya maisha hapa UDOM si nzuri kiuchumi, itambulike kuwa wanafunzi wengi walioko vyuoni ni watoto wa wakulima ambao kwa asilia 100% wanategemea mkopo kutoka HESLB ombi langu naimba serikali ya Tanzania kunusulu maisha ya watoto wa wakulima mungu ibariki UDOM, mungu ibariki Tanzania na wanafunzi wa UDOM kuwa na moyo wa usitahimilivu Amena.
 
Bila kugoma mnafikiri kunamtu atawasikiliza.
 
Gomeni haraka sana,ndani ya saa48 mtapewa hela yenu nyie walilia ubwabwa wa ccm.
 
gomeni haraka sana,ndani ya saa48 mtapewa hela yenu nyie walilia ubwabwa wa ccm.

hayo ndo matatizo ya vijan wa sasa, wanasubiri kila kitu wafanyiwe, kaa hapo ulalamike tuu ndugu serikali yako itakuona tuu usijali!
 
tatizo lenu kugoma napo paka kikwete awape ruhusa,hiki chuo cha kata bana.........
 
Chukua vuvuzela iko pale block Q,puliza leo jioni saa 2 ucku 2kutane pale block I 2jadiliane. 2tabaki kulalama kwny forum hadi lini.. Aaaagh!
 
Chukua vuvuzela iko pale block Q,puliza leo jioni saa 2 ucku 2kutane pale block I 2jadiliane. 2tabaki kulalama kwny forum hadi lini.. Aaaagh!

Haha, madogo wamekuwa waoga tangu walishwe viapo. Hata mavuvuzela wanayaogopa
 
Leo zikiwa zimebaki siku 42 kumaliza semister ya pili wanafunzi hawajapata fedha yao ya kujikimu, kiukweli hali ya maisha hapa UDOM si nzuri kiuchumi, itambulike kuwa wanafunzi wengi walioko vyuoni ni watoto wa wakulima ambao kwa asilia 100% wanategemea mkopo kutoka HESLB ombi langu naimba serikali ya Tanzania kunusulu maisha ya watoto wa wakulima mungu ibariki UDOM, mungu ibariki Tanzania na wanafunzi wa UDOM kuwa na moyo wa usitahimilivu Amena.

Saint Kata hiyo. ndugu zenu magamba wamewasahau. njooni m4c kila kitu kitakuwa vema. shida baba zenu wanahangaika kuipinga m4c ndo maana hawajawakumbuka. endeleeni ksubiri. adhawaizi karibuni m4c
 
Kunatetesi kuwa gazeti la uhuru la leo linataarifa kuwa bodi wamepewa hela ya wanavyuo aliyeko karibu na magazeti afuatilie then athibitishe mm nipo mbali wakuu ningeifuatilia then ningewajuza kwa undani
 
Mnasubir nin kuanzisha kunji?au mnamsubir jk arud kutoka matembezn huko kwa obama ndo awape ruhusa ya kukunjika?
 
Nyie si mlimchangia kikwete milion kumi kw kujipendekeza mnalalamika nini sasa mlidhani mnamlainisha mtakoma kunywenimaji mlale na tunajua kugoma wala kuandamana hamuwezi mtaishia kulalamika facebook tu,ngoja nikujibu Serikali haina mpango wa kuwapeni bumu
 
Mara ngapi serikali wanatoa ahadi nyingi kwa watanzania na hakuna wanachokifanya na tunakaa kimiyo hivyo ndo kusema watanzania ni wajinga au serikali yetu ndo hawako makini mimi naona kugoma sio njia ya kumaliza matatizo au ndo mtafurahi tukigoma na ukasia wanafunzi mia tano udom wamefukuzwa kwa sababu ya mgomo?
 
hivi vyuo vyote tz wamepewa fedha? mbona kila kukicha ni ninyi tu mnalalamika? what is so special to UDOM?
 
Mkome, nyie si ndiyo mliyewasindikiza CCM kuzindua blog yao? Kwani hamjiulizi ni kwanini wenzenu UDSM wamepata hela yao siku nyingi? Mimi CCM huwa naipendea hapo tu, kwamba huwa inawasaidia wanaoichukia na kuwaumiza wanaoiunga mkono. Ndiyo maana wanafanya mambo makubwa kwenye majimbo ya upinzani huku majimbo yaliyo chini ya CCM yakiendelea kuwa na hali mbaya. I real like this crazy approach of leadership.
 
Wenzenu wa RUCO - Iringa wamepata leo kwa ajili ya Quoter IV bila ya shinikizo lolote, wanasubiri za field.... NIMEKUMBUKA: kumbe UDOM mnanyanyaswa na ule mkataba wa amani..... Poleni sana kwa kuwa mlikubali kuingia mkataba wa amani na asiyependa amani
 
Wenzenu wa RUCO - Iringa wamepata leo kwa ajili ya Quoter IV bila ya shinikizo lolote, wanasubiri za field.... NIMEKUMBUKA: kumbe UDOM mnanyanyaswa na ule mkataba wa amani..... Poleni sana kwa kuwa mlikubali kuingia mkataba wa amani na asiyependa amani...
 
Back
Top Bottom