Vunjavunja
Member
- May 18, 2012
- 92
- 11
Leo zikiwa zimebaki siku 42 kumaliza semister ya pili wanafunzi hawajapata fedha yao ya kujikimu, kiukweli hali ya maisha hapa UDOM si nzuri kiuchumi, itambulike kuwa wanafunzi wengi walioko vyuoni ni watoto wa wakulima ambao kwa asilia 100% wanategemea mkopo kutoka HESLB ombi langu naimba serikali ya Tanzania kunusulu maisha ya watoto wa wakulima mungu ibariki UDOM, mungu ibariki Tanzania na wanafunzi wa UDOM kuwa na moyo wa usitahimilivu Amena.
gomeni haraka sana,ndani ya saa48 mtapewa hela yenu nyie walilia ubwabwa wa ccm.
Chukua vuvuzela iko pale block Q,puliza leo jioni saa 2 ucku 2kutane pale block I 2jadiliane. 2tabaki kulalama kwny forum hadi lini.. Aaaagh!
Leo zikiwa zimebaki siku 42 kumaliza semister ya pili wanafunzi hawajapata fedha yao ya kujikimu, kiukweli hali ya maisha hapa UDOM si nzuri kiuchumi, itambulike kuwa wanafunzi wengi walioko vyuoni ni watoto wa wakulima ambao kwa asilia 100% wanategemea mkopo kutoka HESLB ombi langu naimba serikali ya Tanzania kunusulu maisha ya watoto wa wakulima mungu ibariki UDOM, mungu ibariki Tanzania na wanafunzi wa UDOM kuwa na moyo wa usitahimilivu Amena.
saut vipi, walishapata boom?