Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo sehemu gani muda huu ?Mambo vipi guys. Naomba kujua zilipo ofisi za serikali ya mtaa pale Buguruni sheli. Kwa anaejua tafadhali nijulishe nahitaji kufika lakini sifahamu zilipo!
uliza wafanyabiashara wa eneo hilo.Mambo vipi guys. Naomba kujua zilipo ofisi za serikali ya mtaa pale Buguruni sheli. Kwa anaejua tafadhali nijulishe nahitaji kufika lakini sifahamu zilipo!
Kwanza naona kama unachanganya sehemu mbili tofauti.. Hapo Buguruni shells kuna ofisi ya mtendaji kata ya Buguruni. Ukisimama hapo shells ukitazama upande wa pili wa barabara utaiona.Mambo vipi guys. Naomba kujua zilipo ofisi za serikali ya mtaa pale Buguruni sheli. Kwa anaejua tafadhali nijulishe nahitaji kufika lakini sifahamu zilipo!
Ahsante sana kaka, maelezo haya ni msaada sana! UbarikiweKwanza naona kama unachanganya sehemu mbili tofauti.. Hapo Buguruni shells kuna ofisi ya mtendaji kata ya Buguruni. Ukisimama hapo shells ukitazama upande wa pili wa barabara utaiona.
Lakini kama unataka kwenda ofisi ya serikali ya mtaa, kwa kutokea hapo shells ina maana unataka kwenda ofisi ya mtaa wa Buguruni Kisiwani. Ni karibu pia na hapo shells. Ulizia sehemu inaitwa Y2K au stendi ya magari ya mbezi na muhimbili. Ukifika hapo utaliona bango limeandikwa Ofisi ya Mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Buguruni.
Kutoka hapo shells mpaka hapo ofisini ni mwendo wa dakika 3 tu.
Mkuu ndo hapo umepatiaKwanza naona kama unachanganya sehemu mbili tofauti.. Hapo Buguruni shells kuna ofisi ya mtendaji kata ya Buguruni. Ukisimama hapo shells ukitazama upande wa pili wa barabara utaiona.