Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
View attachment 2519295
Taifa la watu chini ya 2M, ifike sehemu tuimeze Zanzibar na ikulu hiyo itumike kama ofisi ya Mkuu wa Mkoa.
But apart from that, kama ni ngumu tuifanye kila mkoa iwe na Rais wake ok, make huu ni unyonyaji wa waziwazi ambao Zanzibar inaifanyia Tanganyika (Tanzania bara)
Zanzibar ina Rais, makamu rais, baraza la mawaziri, bunge, bunge la JMT, wakuu wa Wilaya na mikoa hadi huku bara wanapewa, mashirika zote za JMT wamo, bt ni taifa la watu millioni moja point tu huu sio poa
Hakika nchi ni moja, tunahitaji serikali moja, tuimeze Zanzibar haraka iwezekanavyo kwa maslahi mapana ya Tanzania na watu wake wote.