Maamuzi magumu Bongo ni katika kushughulikia wapinzania tu na sio kwenye issue sensitive kama hizi.
Kila mtu ni mtaalamu sasaWalitakiwa wafanye maamuzi.mapema..
1.funga mipaka
2. Funga shule vyuo
3. Wafanyakazi wote work from home
4. Tnasport : zuia..
5. Testing centers every district
6. Masks and temprature test kits availability.
Sent using Jamii Forums mobile app
Imeenda anzia vijijini ambako hamjajipanga kisha itakuja malizia town alaf itasepaaaWakuu mwenye update za korona hapa tz hebu atujuze
Nawashangaa hadi leo mnaokomaa work from home... Hebu tupe mfano wa kazi tz unazoweza kuwork from home
Hiyo blogging na youtubing unaifanya bila kwenda nje kupiga picha na video?Blogging, Youtubing, Online Jobs.
Na kudanga pia! Unaweza fanyia hom!Blogging, Youtubing, Online Jobs.
Kuna nchi 2 East Africa zinaamini corona ni mapepo na wenye dhambi ndio wanapata.
Hakuna hatua zinachuliwa nchi 3 makini east africa zimefunga mipaka, zimezuia raia kusafiri, zimezuia public transport, lakini nchi ya wachapakazi africa nzima inasema hakuna corona.
Serikali inayo jali wananchi wake huu ndio wakati wa kuonyesha kinga ni bora kuliko tiba.
Hadi sasa wanachi hawajui wamsikilize nani, kila mmoja anaongea anacho jua, bashite naye ameona ni sehemu ya kutokea.
Ivi hawa viongozi hawajui kwamba hata wao likiwakuta hakuna kwenda India wala ujeremani?
View attachment 1399351
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo blogging na youtubing unaifanya bila kwenda nje kupiga picha na video?
Sasa hapo habari moja mnaitoa watu wangapi...wewe ushajaribu kufanya kwa njia hiyo ukafikia hatua ya kulipwa na YouTube? Mambo si mepesi hivyo ndugu... Watu wanachaneli za YouTube na blogs wanatafuta sana camera... Ukianza kuchukua picha zilizopigwa na wengine na kuiba contents zao utajikuta matatani bure.Ndiyo, mbona habari mitandaoni zipo nyingi sana!!! Unaweza ukatengeneza makala za viongozi, habari za wasanii mitandaoni, breaking news za duniani, aisee kuna mambo mengi sana online yanaweza kufanikishwa bila hata kutoka nje na camera.