FDuniani kote serikali zote hazitaki watu wajue ukweli!
Kwasababu "Ukweli huwaweka watu huru"
Na ili serikali itawale kwa amani inabidi watu wasiwe huru kujua ukweli!
Hivyo nakusanua Leo ishi humu:
Huruma pekee ya kweli kwa serikali zote duniani kwa wananchi wake huwa ni kuwazika wanapofariki!
- Ukiona jambo linakanushwa na serikali yoyote kuwa ni uzushi basi tambua "huo ndiyo ukweli wenyewe"
- Ukiona jambo linatangazwa na kuhamasishwa wananchi wajitokeze tambua hilo jambo "linamaslahi makubwa kwa wahamasishaji kuliko wananchi wanaohimizwa kujitokeza"
- Ukiona serikali inahimiza ibada ni kwa ajili ya kuiombea aman serikali husika
- Ukiona mtoa taarifa anasakwa kwa tuhuma za kusema uongo basi alichosema ni kweli
- Ukiona jambo limetolewa ufafanuzi basi huo ufafanuzi huo huwa ndiyo uongo halisi!
- Ukiona jambo linatolewa bure basi hilo jambo linamaslahi kwa watawala
Jitahidi sana kuujua ukweli inje ya mifumo ya serikali, maana huo ndiyo ukweli halisi utakaokuweka huru!
Kumbe una akili..Duniani kote serikali zote hazitaki watu wajue ukweli!

Ukweli ni siri!Kumbe una akili..
Usipotoa sadaka unaambiwa hautaki kumtolea Mungu sadaka, ukiwauliza nionyeshe Mungu nimpe sadaka yake unakuwa ni ugonvi.Kwenye mambo ya Imani. Kila kitu ni vice versa. Unaeambiwa ni Mungu ndo Shetani na unaeambiwa ni Shetani ndio Mungu wa kweli wa asili.
Akili mtu wangu akili
Ugomvi mkubwaUsipotoa sadaka unaambiwa hautaki kumtolea Mungu sadaka, ukiwauliza nionyeshe Mungu nimpe sadaka yake unakuwa ni ugonvi.
HatariKibaya wanaoujua ukweli wanajikuta wapo isolated na wakiwaStua wengine wanashambuliwa vibaya sana.
Kuna kujuta kupo-pale tutakapogundua tumeishi uongo kwa 98% ya maisha yetu.
Tena uipate serikali au watendaji ambao wakiwa ktk majukumu yao ya kiserikali hapo dini wanaiweka pembeni na kubaki hawana dini. Ogopa sana. Hapo ujue dini yao na Mungu wao ni pesa pekee.Duniani kote serikali zote hazitaki watu wajue ukweli!
Kwasababu "Ukweli huwaweka watu huru"
Duniani kote viongozi huapa kuficha siri, Hushika misaafu na biblia kutangaza kuwa wataficha siri badala ya kuapa kusema ukweli na haki!
Yote hayo ili serikali itawale kwa amani inabidi watu wasiwe huru kujua ukweli!
Hivyo nakusanua Leo ishi humu:
Huruma pekee ya kweli kwa serikali zote duniani kwa wananchi wake huwa ni kuwazika wanapofariki!
- Ukiona jambo linakanushwa na serikali yoyote kuwa ni uzushi basi tambua "huo ndiyo ukweli wenyewe"
- Ukiona jambo linatangazwa na kuhamasishwa wananchi wajitokeze tambua hilo jambo "linamaslahi makubwa kwa wahamasishaji kuliko wananchi wanaohimizwa kujitokeza"
- Ukiona serikali inahimiza ibada ni kwa ajili ya kuiombea aman serikali husika
- Ukiona mtoa taarifa anasakwa kwa tuhuma za kusema uongo basi alichosema ni kweli
- Ukiona jambo limetolewa ufafanuzi basi huo ufafanuzi huo huwa ndiyo uongo halisi!
- Ukiona jambo linatolewa bure basi hilo jambo linamaslahi kwa watawala
Jitahidi sana kuujua ukweli inje ya mifumo ya serikali, maana huo ndiyo ukweli halisi utakaokuweka huru!
Watawala ndiyo chanzo cha ugumu wa maisha kwasababu hawasemi ukweliTena uipate serikali au watendaji ambao wakiwa ktk majukumu yao ya kiserikali hapo dini wanaiweka pembeni na kubaki hawana dini. Ogopa sana. Hapo ujue dini yao na Mungu wao ni pesa pekee.
Na ukitoa sadaka linanunuliwa gari ambalo hata huyo uliyemtolea sadaka halihitaji.Usipotoa sadaka unaambiwa hautaki kumtolea Mungu sadaka, ukiwauliza nionyeshe Mungu nimpe sadaka yake unakuwa ni ugonvi.