Serikalini hakuna ajira, viongozi ni muda wa kuwa wakweli

Serikalini hakuna ajira, viongozi ni muda wa kuwa wakweli

Thomson mtau

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2024
Posts
251
Reaction score
379
Serikali na viongozi wake ni muda sasa wa kuwambia ukweli wahitimu wetu katika nyanja tofauti ukiangalia idadi ya vijana waliomaliza vyuo inatisha, wanaojitolea kwa posho kidogo ndio usiseme.

Nini cha kufanya fanyieni marekebisho mitaala yetu ili kijana anapomaliza masomo aweze kujiajiri tofauti na hapo mnatengeneza bomu mbaya sana tunakoelekea na dalili zote zipo wazi.

Pia soma
- Wahitimu wa elimu ya juu Tanzania na kitendawili cha kujiajiri
 
1000266050.jpg
 
tanzania ni nchi maskini na wakaazi wake ni maiti watawala wake wanawaona wananchi kama manyani.....

nchi iliyojaa machawa huwezi weka mambo sawa
 
Mbona ajira zinatangazwa na watu wanapata mkuu...
Afya..walimu..na kada nyinginezo,
Kama una sifa utaajiriwa
 
Back
Top Bottom